Get Started Today.

Upendo na msaada ni njia yetu

Kutoa msaada wa msingi na rasilimali kwa jamii maskini, kuhakikisha wanapata chakula, makazi, huduma za afya, na elimu kwaajili ya kuwapa furaha.

Donate

Kwa Nini Kusaidia?

Tujenge pamoja jamii bora kwa msaada wetu

Msaada wa kifedha

Kutoa msaada wa kifedha na rasilimali

Kusaidia vituo vya wahitaji kwa njia ya kutoa fedha, chakula, mavazi na rasilimali zingine kwa maisha bora ya wahitaji.

Kuleta furaha

Kuleta furaha na amani kwa wahitaji

Kushiriki katika shughuli za kijamii, michezo, na burudani pamoja na wahitaji ili kuwafanya wajisikie na furaha.

Jamii yenye mshikamano

Kujenga jamii yenye mshikamano

Kujenga jamii inayoshirikiana, inayoelewa na inayojali mahitaji ya wengine, na hivyo kusaidia wahitaji kwa njia ya ufanisi na upendo.

120

Finished Event

Our Founders

Photo of Sakil Khan

Zawadi Saimoni Mgeni

Mkurugenzi

Phone: +255 752 340 670

Photo of Emran Ahmed

Naomi Jackson Nhembo

Muhasibu

Phone: +255 754 325 553

Photo of Sabbir Ahmed

Paul Hosea Ndui

Guardian

Phone: +255 713 549 090